Radio
16:30 - 16:59
Zaidi ya watu milioni 2 katika jimbo la Florida nchini Marekani wamekosa umeme baada ya kimbunga Ian kuingia na kuua watu wasiopungua 12
Kimbunga Ian chenye nguvu kubwa kinatarajiwa kutua leo Ijumaa jimbo la South Carolina kabla ya kuhamia maeneo ya ndani ya jimbo hilo na kuelekea jimbo la North Carolina kufikia Jumamosi.
19:30 - 20:29
Live talk: Mchango wa vyama vya upinzani katika maendeleo ya serikali za Afrika mashariki
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Jukwaa la waandishi: maoni ya waandishi wa habari kuhusu vita vya Ukraine, serikali mpya Kenya, Ebola Uganda na usalama DRC
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.