Radio
16:30 - 16:59
19:30 - 19:59
IEBC yasema ipo tayari kwa uchaguzi wa Kenya
Tume ya uchaguzi ya Kenya, imesema kwamba maandalizi ya uchaguzi mkuu wa wiki ijayo yamekamilika. UN yataka uchunguzi kufanyika wa mauaji ya walinda amani wa MONUSCO, Kivu Kaskazini. Tanzania yaunda kamati kuchunguza utoaji wa mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu.