Radio
16:30 - 16:59
VOA Express: Habari za uongo kuhusu wagombea katika uchaguzi mkuu wa Kenya zinasambazwa kwa kasi, wanasiasa maarufu wanachunguzwa
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express
19:30 - 19:59
Jopo la wataalam wa UN ladhibitisha kwamba wanajeshi wa Rwanda "wanawasaidia waasi kupigana DRC"
Jopo la wataalam wa Umoja wa mataifa limesema uchunguzi wake umedhihirisha kwamba, licha ya utawala wa Rais Paul Kagame kukanusha shutuma za mara kwa mara, wanajeshi wa Rwanda wamekuwa wakiishirukiana na waasi nchin DRC.