Spika wa bunge la Marekani Nancy Pelosi amethibitisha leo kwamba anaongoza ujumbe wa wabunge kwenda bara la Asia lakini hajasema kama ataipinga China kwa kusimama Taiwan