Radio
06:00 - 06:29
Mahakama ya juu Kenya yatupilia mbali suala la BBI nchini humo
Viongozi wa kisiasa na raia wengine wa Kenya wamepokea kwa maoni mseto hukumu ya mahakama ya juu nchini humo kutupilia mbali rufaa iliyowasilishwa na serikali ya Rais Uhuru Kenyatta kupinga hatua ya mahakama ya rufaa kupuuzia suala la BBI
19:30 - 20:29
Majadiliano ya wiki, Livetalk, kuhusu DRC kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki
Wageni wetu, wakiwa ni pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dr Peter Mathuki, wanaangazia mafanikio na changamoto za hatua ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kujiunga rasmi na Jumuiya ya Afrika Mashariki.