Radio
19:30 - 19:59
Mahakama ya juu Kenya itaamua Jumatatu iwapo itaunga mkono au kubatilisha matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika Agosti 9 mwaka 2022
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.