Radio
06:00 - 06:29
Wanaharakati DRC wataka mkutano wa Umoja wa Mataifa kuidhinisha kuondoka kwa MONUSCO
Wanaharakati wa kisiasa na mashirika ya kiraia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanataka umoja wa mataifa - katika kikao chake cha 77 mjini New York - kujadili na kuidhinisha kuondolewa kwa wa ujumbe wa Monusco nchini humo kwa tuhuma za kushindwa kutekeleza majukumu yake.
16:30 - 16:59
Vijana wataka kupewa nafasi zaidi katika mabadiliko ya hali ya hewa.
VIjana wanataka kuona mabadilko katika suala zima la changamoto za mabadiliko ya hali ya hewa .Wakati Rais wa Kenya William Rutto akitarajiwa kuongoza mkutano wa viongozi wa Afrika kuhusiana na cahanagmoto za mabadiliko ya hali ya hewa mjini New York.