Radio
06:00 - 06:30
16:30 - 16:59
Wasanii wa Sauti Soul watishia kushtaki muungano wa kisiasa wa Azimio kwa "kutumia wimbo wetu kwa njia isiyo halali"
Tunafanya mahojiano ya moja kwa moja na msanii Bien Aime, kiongozi wa kundi la muziki la Sauti Soul, nchini Kenya, ambaye ametishia kuupeleka mahakamani muungano wa kisiasa wa Azimio la Umoja, kwa kucheza wimbo wake kwa njia iliyo kinume cha sheria za haki miliki.