Radio
06:00 - 06:30
16:30 - 16:59
Vijana wa Burundi waanzisha mradi wa kuitangaza nchi yao kimataifa
Kikundi kimoja cha vijana nchini Burundi, kimezindua mradi wa kitaifa, uitwao #VisitBurundi unaolenga kuwavutia watalii wa kimataifa, ili kutembelea maeneo mbalimbali ya taifa hilo la Afrika Mashariki, ambalo lina sifa ya moja ya nchi maskini Zaidi duniani, zilizogubikwa na mizozo.
21:00 - 21:29
Mashambulizi ya kiholela ya risasi Marekani yaibua mjadala mkali kuhusu haki za umiliki bunduki
Kufuatia mashambulizi ya mwishoni mwa wiki mjini Buffalo, New York, ambapo kijana mzungu anashukiwa kuwaua watu kumi, na kujeruhi watatu, mjadala umeibuka mkali tena kuhusu haki za umiliki bunduki, huku Rais Joe Biden akiyaita ya kibaguzi.